NA REGINA
PETRO
MAMLAKA ya
Udhibiti wa huduma za Nishati na maji (Ewura), imetangaza kushuka kwa bei ya
mafuta hayo katika soko la dunia na kupungua kwa gharama za usafirishaj
Vilevile
mabadiliko ya bei yamechangiwa na kubadilika kwa kanuni ya kukokotoa bei mafuta
nchini ili kujumuisha gharama kwa wakalaza serikali na tozo za huduma za
manipaa na jiji kwa wauzaji wa mafuta kwa jumla na rejareja.
Katika
taarifa yake Kaimu Mkuugezi mkuu wa Ewera, Nzinyangwe Mchany alisema kuwa kwa
mwezi mei mwaka huu, bei za rejareja za petroli zimepungua kwa aslimia 3.80
ambayo ni sh 88 kwa lita, bei ya dizeli imepungua kwa asilimia 2.75 ambayo
yanauzwa sh 61 kwa lita huku bei za mafuta ya taa zimeongezaka kwa sh mbili kwa
lita sawa na aslimia 0.09.
Mkurugezi akiongea wa Ewera akiwa anzungumza na vyombo
vya habari.
Alieleza
kuwa hakuna mzigo mpya wa mafuta ulipokelewa nchini kupitia bandari ya Tanga
kutokana na mabadiliko ya kanuni za kukokoto bei za mafuta nchini za jumla na rejareja za bidhaa za mafuta mikoa ya kaskazini
zimebadilika.
Mchay
alisema katika toleo la mei, mwaka huu, bei za rejarea za petroli zimeongezaka
kwa sh tatu kwa lita sawa na asilima 0.14,dizeli imeongeka kwa sh 15 kwa lita(
sawa na asilima 0.71) kwa mikoa hiyo ya kasikazini
Aidha,ukilinganishwa
na toleo la mwezi uliopita bei za jumla za petroli epungua kw ash 9.81 kwa
lita( sawa na aslimia 0.46) wakati bei za jumla za dizeli zimeongeza kw ash
1.96 kwa lita( sawa na asilimia 0.10).


0 comments:
Post a Comment