Na.luciana Audax
Dar es salaam
Mvua kubwa ambazo zinaendelea kunyesha katika maeneo mengi nchini Tanzania zimesababisha mafuriko makubwa nauharibifu wa mali jijini Dar es salaam, nakuharibu miundombinu nakua kero kwa baadhi ya maeneo mengi kufuatia maeneo hayo kujaa maji.
![]() |
| Magari yakiwa yanapita kwenye barabara iliyojaa maji maeneo ya Sinza kijiwe jijini Dar es salaam kufuatia mvua ambazo zinaendelea kunyesha |
Kutokana na mvua kunyesha bila kukata imesababisha
mafuriko makubwa maeneo mengi jijini dar e s salaam ikiwemo eneo la jagwani barabara ya morogoro rodi hakuna gari ya
kwenda wala kurudi mjini.
Mkuu wa wilaya ya ilala Sophia njema amefika katika
eneo hilo nakuwataka wanachi kuondoka
katika maeneo hayo kwasasas kwakua maji
yanaendelea.


0 comments:
Post a Comment