NA ANNA
MADALE
Wakazi wa wilaya
ya Kinodoni walalamika serikaril ya mtaa wa mbezi beachi A kwa kutokatua swala
lao la mda mrefu la miundo mbinu mibovu ya barabara na mitaro.
Moja ya njia
ya mbezi beach A hali ikiwa hivi.
Wakazi hao
walikutana na serikali yao ya mtaa ili kujua barabara na mitaro zitatengenezwa
lini na kuna mikakati gani ambayo itawafanya waamini serikali yao itafanya kazi
Mwenyekiti
wa serikaili hiyo Bw. Pantaleo Theodory alisema serikali yao imeandaa bajeti
ambayo wataielekeza katika kumwaga vifusi ili kusaidia baadhi ya maeneo ambayo
yamekuwa kikwazo kwa wakazi wa enao hilo
Mwenyekiti
akiwa watatu kushoto katika kikao hicho.
Pia
Bw.Theodory alisema wakazi waonyeshe ushirikiano katika maeno yao ambapo gari
ya kumwaga vifusi ilikurahishisha kazi hiyo kwenda vzuri ambapo kila mkazi
achangie kiasi kidogo ili kurahisha kazi hiyo, ambayo itaanza hivi karibuni.


0 comments:
Post a Comment