NA AMINA
SANGAWE
Siku ya
kimataifa ya mama Duniani ilianzishwa rasmi mwaka 2009 na umoja wa mataifa
nahuadhimishwa kila mwaka April 22 ili kutoa nafasi ya kuthamini umuhimu wa
mama katika hii dunia.
Siku hii
maalum kwa kina mama duniani huambatana na kauli mbiu ambayo kwa mwaka huu ni’’SITISHA
UCHAFUZI WA MAZINGIRA PLASTIKI’’.kauli hii imetokana na waraka wa Baba
mtakatifu Fransisko usemao’’Ujumbe huu ambao umesheheni mapokeo ya kidini pamoja na ushauri wa
kisayansi unaweza kufanyiwa kazi katika ngazi mbalimbali kuanzia kwa watu
binfsi,vyama vya kiraia,serikali na mashirika ya kimataifa ili kukuza na
kuimarisha mchakato wa maendeleo endelevu,usawa na kuzingatia haki za msingi kibinaadamu.
Siku ya mama duniani huadhimishwa nan chi nyingi
ikiwemo Tanzania ,Lengo kuu la kuadhimisha hii siku ni kwaajili ya kumshukuru
mama wa familia,pamoja na umama,uzazi wanaopitia pamoja na mchango wao mkubwa
katika jamii
0 comments:
Post a Comment