Katiika harakati za uchaguziwa uraisi katika chuo cha
uandishii wa habarri, TIME SCHOOL OF JOURNALISM imeonesha kuwa na muamko kwa wanafunzi pamoja na
serikali ya wanafunzi TISIJJOSO ambapo kila mgombea ameweza kujinadi kwa sera
zake.

Kinyang’anyiro hicho
kinashikiliwa na wagombea watatu katika nafasi ya uraisi,na kila mgombea
akijikita zaidi katika maswaala ya elimu na kuboresha mazingira mazuri chuoni
hapo.
Kampeni zimeng’oa
nanga leo na uchaguzi ukitegemewa kuwa ijumaa ambapo mbivu na mbinchi
itajulikana pindi tu Raiisi atakapojuliikana.
0 comments:
Post a Comment