Wednesday, 16 May 2018

RAIS AVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI

Na.luciana Audax
Dar es salam

Rais wa serikali ya wanafunzi Jonh Marwa  katika chuo cha uandishi wa habari Tsj jijini dar e s salaam   amevunja baraza la mawaziri ilikupisha chakato wa uchaguzi  wa  viongozi wengine baada ya baraza hilo kumaliza mdawake.

Rais wa TSJ

Akizungumuza  nawanafunzi chuoni hapo marwa ametangaza ametangaza rasmi kulivunja baraza hilo nakumuachia majukumu mwenyekiti wa tume  ya uchaguzi ilikuendesha  zoezi la uchaguzi linalofungua nafasi ya kuchagua serikari nyingine.


Hata hivyo Jonh Marwa amewaomba  wanafunzi wengi  kushiriki katika zoezi hilo nakuwataka kukabiriana na changamoto mbalimbali zitakazo wakabili iwapo watachaguliwa kua viongozi waserikali ya wanafunzi chuoni hapo kwa mwaka 2018-2019

0 comments:

Post a Comment