NA ANNA
MADALE
Rais john marwa wa chuo cha uandishi wa habari
time school of journalsm kilichopo ilala jijini dar es salaam ameachia rasmi uongozi wake kwa kupisha
uchaguzi mpya .
Raisi wa TSJ
akiongea na wanafunzi chuoni hapo.
Rais huyo
aliachia rasmi madaraka juzi ijumaa alipokutana na wanafunzi wa chuo hicho katika school baraza ambapo yeye na viongozi wake kutoa hitimisho la kuitumikia serikali ya wanafunzi wa chuo hicho
na kutoa ripoti maalumu ya mambo
yote waliyofanya pindi walipokuwepo
madarakani .
Reporti huyo
ilisomwa na waziri mkuu wa chuo hizo mh.Abdala turaha kikoti ambampo alisema
mambo makuu walioyatekeleza pindi walipokuwa madarakani ni kujitoa kwa kila
jambo, kutangaza chuo(TSJ) na kufanya school bash kuwa ya kipekee .
Baada ya
reporti hiyo muhemiwa Raisi alimkaribisha mwenyekiti wa tume mh.Odrin Nickolous
kwa ajili ya kutambulisha rasimi wagombea wapya ambampo kampany zitaanza rasimi
mnamo tarehe 16 mpaka tareh 17 na
uchaguzi utafanyika rasimi tarehe 18 wa kuchagua Raisi pamoja na makamu wake.


0 comments:
Post a Comment