Wednesday, 16 May 2018

ZIARA YA MAGUFULI BANDARINI YATOA MAJIBU KWA WANANCHI

Na. Luciana Audax
Dar es salaam

Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania  Jonh pombe magufuli  ametoa maagizo ma tano kwa watendaji wa wizara na idara za serikari alipofanya ziara ya kushtukiza saa 6:30 mchana kufuatilia sakata la mafuta yakula kwenye bandari ya dar es salaam  ikiwemokuagiza mafutahayo kutolewa bandarini haraka.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwa bandarini katika ziara ya kushtukiza katika mapipa ya kuhifadhia mafuta ya kula.
 Magizo hayo yametolewa baada yakupokea ripoti ya uchunguzi  juu ya ualisia na ubora wa mafuta yakula iliyoongozwa na profesa joseph buchoishaija

Timuhiyo ilifanya uchunguzi katika matanki ma43 yenyetani 105,630 za mafuta yakula ambapo ilibaini kua katiya matanki hayo7 yanamafuta yaliyo boreshwa na 14 mafuta yaliyoboreshwa kiasi

Matokeo ya ripoti hiiyo yameonesha kua tofauti nataarifa zinazo wasiliswa na TRA

0 comments:

Post a Comment