Soko la
Buguruni ni moja kati ya masoko makubwa yanayotegemewa katika jiji la Dar e
saalam,kwa serikali kujipatia kipato pia wateja kujipatia mahitaji ya
kilasiku.Licha ya yote hayo soko hilo linaonekana kukithiri uchafu kila sehemu
.
Mwenyekiti
wa soko Said Habib Kondo amesemakuwa soko hilo lina wafanyabiashara 3000 na kila mfanyabiasharra hutoa ushuru wa
shilingi 300 hadi 400 kiasi kwamba kwa mwezi wannakusanya kiasi cha shilingi 27,000,000,lakini
bado hazisaidii kusafisha soko.


0 comments:
Post a Comment