Na Gladness Mapesa
Wanawake waishio Dar es salaam wilaya ya kinondoni mtaaa wa
Tegeta wazo walalamikia madocta kutowapa elimu ya matumizi ya vitamin a kwa
watoto wao waliochini ya miaka mitano
pichani mtoto akipata chanjo
Wakizungumza na Chipukizi wanawake hao wamesema hawajui
vitamin a ni nini wala inafaida gani nkwenye miili ya watoto wao
Hivyo wamekuwa wakiwapa vitamin a pasipo kujua umuhimu wake kwa watoto zaidi yakutimiza wajibu na
wengine kutohudhulia humua iyo kwa kuogopa kukalipiwa au kutukanwa na wauguzi hao
pindi wapewapo huduma hiyo
Pia waliendelea kwa kusema kwamba wamekuwa kipata wakati
mgumu pindi wanapotaka kujua umuhimu wa vitamin a kwa watoto kwa madocta na
manesi wamekuwa wakikosa ushirikiano na mwisho kuwapa maneno mabaya ya
kuwakatisha tamaa nakuwafanya washindwe kupeleka watoto wao kupata huduma ya vitamin a kwa watoto walio chini ya
miaka mitano
Aidha wanawake hao wameiomba serikali kuwa saidia kuwapa
elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa vitamin a kwa watoto wao kwani wameshindwa
kuhudhulia vizuri huduma hazo kutokana nauelewa hafifu wa umuhimu huo pindi
wahudhuliapo huduma hizo.

0 comments:
Post a Comment