NA AMINA
SANGAWE.
Mbunge wa
shinyanga mjini kwa tiketi ya CCM,Stephen Masele amechaguliwa kuwa makamu wa
Rais wa Bunge la Afrika [PAP].
Taarifa hiyo
imetolewa mei 11 mwaka huu Bungeni Mjini Dodoma
na mwenyekiti wa Bunge,Andrew Chenge na kubainisha kuwa mbunge huyo
kijana amechaguliwa mei 10 mwaka huu.
Cheng
amemsifu mbunge huyo kwa utendaji wake mzuri wa kazi na kuongea ‘’umelipa Bunge
letu sifa na Tanzania kwa ujumla.Nafasi hii
ni ya kuitangaza nchi yetu na Bunge hili na tunamtakia kazi njema huko
aendko.
0 comments:
Post a Comment