NA AMINA
SANGAWE
Kampuni ya
mradi wa usafirishaji ya mabasi ya mwendo kasi[UDART]imefungua kesi mahakamani
dhidi ya serikali kupinga kitendo cha kuletwa mwekezaji mpya.
Hatua ya
serikali kutafuta mwekezaji mwingine imetangazwa Mei 10 mwaka huu na
Waziri MkuuKasim Majaliwa akiwa Bungeni
baada ya kampuni hiyo kuonekana kusuasua katika utendaji wa mradi huo.
Bila kusahau
kampuni ya Udart imewahi kufunguliwa kesi ya madai mahakamani na kampuni ya
Maxam wiki tatu zilizopita kwa kushindwa kulipa gharama za uendeshaji,uwekezaji
na haki stahiki za wafanyakazi.
0 comments:
Post a Comment