Na. Pamela
chamafwa
Dar
es salaam.
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.kassimu majaliwa
amehitimisha mjadala wa kuwataka wafanyabiashara wote hapo nchini kuingiza mafuta hayo sokoni
ndani ya saa 72 .
Majaliwa ametoa agizo hilo baada ya spika wa bunge
joh ndungai kuitaka serikali kueleza ufumbuzi wa tatizo la kuadimika kwa mafuta
na kukwama kwa meli za mafuta bandarini kutokana na tatizo la kodi.
![]() |
| Waziri mkuu Kassim Majaliwa |
Kwa upande wake waziri wa viwanda biashara na
uwekezaji Charles mwaijage amesema mahitaji ya mafuta nchini ni kati ya tani laki
4 hadi 4 na nusu kwa mwaka huku vyanzo vya mafuta hapa nchini ikiwa ni asilimia
30 pekee.

0 comments:
Post a Comment