Wanabiashara wengi walalamikia swala la
ukosefu wa wateje masokoni na sababu kuu
ikiwa ni mvua inayoendelea kunyesha katika mji wa Da r esalam.Ikiwa ni msimu wa
mvua sasa wauzaji wengi wanakosa sehemu za kufanyia biashara zao kwani hawana
sehem nzuri za kuhifadhi biashara zao.
Nikiongea na mmoja ya wafanyiibiashara hao Amos amesema biashara hiiyo ndio inayomuwezesha yeye kujikimu pamoja na familia yake.
“Biashsra ndio inayoniingizia kipato chakuweza kujikimu
mimi na familia yangu kwani kazi za
kuajiriwa nimekosa. Lakini tangu kuanza mvua nimekua na changamoto nying.i Ambapo
faida hamna kama mwanzoni kwani sasahivi wateja wamepungua na vilevile pia hakuna
sehemu nzuri ya kufanyia biashara.”
| Wafanyabiashara wa soko la buguruni wakiendelea na biashara zao katika soko hilo. |
0 comments:
Post a Comment