NA ANNA
MADALE
Wagombea
wanao nadi sera zao katika chuo cha uaandishi wa habari time school of
journalism (TSJ) wamekuwa chachu kwa wasikilzaji ambapo wanafunzi wameonyesha
ushirikano mzuri kwa wagombea.
Mgombea
Rashid Hassan Rashid amewaambia wanafunzi wa chuo hicho kuwa atafanya
mabadiliko makubwa endapo watamchagu kuwa Rais wa chuo hicho, mabadaliko hayo
ni kama kuwakikisha pesa za tharura zinatumika ipasavyo na kusimamia kikamilifu
swala zima la elimu na nithamu kwa kila mwanafunzi.
Wanafunzi
wakiwa wanasikiliza sera za wagombea wao.
Pia mgombea
Abdurahmani Kinana aliwaambia wanafunzi wa chuo hicho endapo watamchagua kuwa
Raisi wa chuo kwa mwaka huu atarekebisha katiba 89% ili chama cha tisojoso
kibaki kuwa huru kwa miaka ya badaye
Wagombea
wenge wamenadi sera zao kwa kuwaambia wanafunzi endapo watawachagua
watatekeleza kila jambo ambalowameahidi
mbele ya wanafunzi na kuyafanyia
kazi.


0 comments:
Post a Comment