NA.PATSON
MWITA.
MCHEZAJI
wa timu ya Bombom Fc ya Ilala, Suleiman Mohammed anayefahamika kwa jina la
Berko anayecheza nafasi ya Golikipa namba moja wa timu hiyo,ambapo hadi
sasa amedumu katika klabu hiyo kwa muda wa miaka tisa[9],alianza kupenda soka
tangu alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili[12],kabla ya kuwa golikipa
alikuwa anacheza nafasi ya ushambuliaji lakini alivutiwa zaid na udakaji na
golikipa wa yanga Yoberko wakati huo akiwa mchezaji wa yanga.
Suleiman
ambaye amewahi kuwa mshindi wa tuzo ya mashindano ya JK yaliyofanyika mwaka
jana na kufanya kuibuka golikipa bora wa mashindano hayo,Bombom ilimfanya qweze
kushiriki mashindano mbalimbali kama vile COPA coca cola,JK inasifika kuibua
vipaji kama vile Ramadhani sigano kwa sasa anachezea Azam fc,Ibrahim ajibu
anachezea timu ya yanga na Hassan isiaka anayekipaga timu ya mtibwa sugar.
Akielezea
mambo asiyoweza kuyasahau Suleimani alisema’’sitosahau niliposhindwa
kufuzu kucheza timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka kumi na saba
17[Serengeti boys];jambo lingine ambalo sitoweza kusahau niliposhindwa kucheza
soka kwa kipindi cha miezi hisiyopungua miwili’’.hayo yamesemwa na Suleiman.
Timu
aliyoifurahia katika maisha yake ya soka ni Bombom Fc anayoitumikia mpaka
sasa,vile ilimpaumaharufuna mafanikio alioyapata katika maisha yake ya soka;pia
ametoa ushauli kwa wachezaji chipukizi ambao wamekata tama kwenye soka na
kuwaomba wasikate tama na badala yake wafanye mazoezi ya kutosha ili
wafikie malengo yao kwenye soka.
[PICHANI
NI GOLIKIPA WA BOMBOM FC SULEIMAN BERKO {KATIKATI}AKIWA NA WACHEZAJI WENZAKE.PICHA
NA MAKTABA].


0 comments:
Post a Comment